Njia 8 za kujikosesha furaha:
1. Kulalamika bila kutafuta
ufumbuzi wa tatizo au matatizo.
2. Kuyakimbia matatizo yako
badala ya kuyatatua.
3. Kujilinganisha na wengine.
4. Kuwaza na kua na wasiwasi na
mambo ambayo bado
hayajatokea.
5. Kufanya vitu mfano kazi
ambayo huipendi kutoka moyoni.
6. Kukaa kwenye mahusiano
ambayo hayana tena faida kwako.
7. Kujaribu kubadili mitazamo ya
wengine huku ukijiona wewe
ndo uko sahihi.
8. Kujaribu kumfurahisha kila mtu
kwa matendo yako.
No comments:
Post a Comment