Thursday 17 April 2014

sms za mahaba

ahaba unayonipa natamani niwe
nawe mpaka
kufa,
kila siku zinavyozidi kupita
najuta kwanini nilichelewa penzi
kukupa,
nakupenda na nitakupenda hadi
kufa!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hivi ni lini penzi utanipa,
nimechoka na ahadi
unazonipa kila kunapokucha,
tambua kwako nimefika na siku
utakayonipa
zawadi nzuri nitakupa na
hutanisahau
hadi kufa.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nisamehe la azizi ukweli mbona
uko wazi,
yule si wangu mpenzi ila ni rafiki
yangu
kipenzi, yangu mapenzi ni wewe
pekee nayekupa mpenzi,
katika hii dunia ni wewe
pekee penzi nayekupatia!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Uko wapi wangu malkia, mwenzio
hamu nasikia nawe
ndiye ujuwaye hamu kunitoa,
tafadhali dear upatapo msg hii
tambua nyumbani
nakusubiria! Luv u
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika raha wajua kunipatia,
fimbo wajua kuitumia sharti
mtoto wakike nabaki
nagugumia kwa raha unayonipatia
ambayo wengi
wanaililia , plz utamu wangu
nitunzie!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nashukuru kwa miguno
uliyonipatia na kiuno kunikatia,
utamu niliousikia
nilitamani kulia hatima
ilipowadia , nakupenda
dia usije utamu wangu mwingine
kumpatia! Luv u
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wikiendi ndiyo imeisha,
majukumu hatunabudi kuyatimiza
dear,
kuwa nawe muda mrefu
nimefurahia nakujihisi malkia
katika hii dunia kuwa
nawe najivunia. Luv u
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wangu Malkia nashukuru kwa
mahaba uliyonipatia,
nikikumbuka miguno na viuno
ulivyonipatia na
raha niliyojisikia, nahisi kuna
mwingine unampatia,
please dear penzi langu usije
wengine kuwapatia! Nakupenda.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nashukuru kwa yako dozi hakika
katika
mapenzi wewe ni mkufunzi,
wajua bakora kuitumia, mpenzi
usije ukawa na
mwingine
unayempatia, hakika nikijua
nitaumia kama
sikujiuam. Nnakupenda!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nimeamini wewew ni mtalam
wajua kunitoa hamu,
unipapasapo huhisi kupoteza
fahamu, maneno yako
matamu hunizidisha hamu, hakika
wajua kunikamua, luv u.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika nimepata tabibu, maradhi
yangu wajua
kujyatibu,
napenda jinsi unavyonitibu,
huna papara yaani ni taratibu,
mpenzi usijemuonyesha
mwingine hizo
zako zabibu,
maswahibu yakatayonisibu hakuna
atakayeweza kuyatibu, nakupenda.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Usiku wa jana ulikuwa wa aina
yake, ulinipa mambo
matamu yasiyo ya kawaida,
ulinifurahisha sana mpenzi
wangu,
ulidhihirisha kuwa wewe ni
kidume
uliyeubwa kwa ajili yangu..
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nakumbuka siku utamu ulityonipa
maneno
matamu kedekede hukusita
kunipa na
ahadi kibao masikioni mwangu
zilisikika,
hakika roho yangu haikusita
kuamini
kwako nimefika, nashangaa
leo utamu hutaki nipa!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wikiend ndiyo siku niliyokuwa
nikiisubiria mimi
nawe mpenzi tupate tulia,
mahaba na
maneno matamu ndio zawadi
niliyokuandalia. Kumbuka yetu
miadi na jali wakati!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Masika ndiyo hiyo imewadia,
baridi nalo ndio
limenichachia, mpenzi
lini waja joto kunipatia?
Mwezio naumia!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nashukuru kwa yako dozi hakika
katika mapenzi
wewe ni mkufunzi, wajua bakora
kuitumia,
mpenzi usije ukawa na mwingine
unayempatia, hakika nikijua
nitaumia
kama sikujiuam. Nnakupenda!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nimeamini wewew ni mtalam
wajua kunitoa hamu,
unipapasapo huhisi kupoteza
fahamu,
maneno yako matamu hunizidisha
hamu, hakika wajua kunikamua,
luv u.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Kuwa nawe najivunia, mtoto
mapenzi wayajua,
kiuno, sauti yako tamu mithili ya
chiriki wajua hasa kuitumia, mua
wangu
wajua kuukamua, ukiniacha jua
nitaumia,
nakupenda usije niacha nitajiua!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
usiku unapoingia najawa na furaha
unajua kwanini?
unaponigusa nahisi tumeumbwa
wawili,
mchana nakumisi sana unapokuwa
kazini,
wikiendi natamani isiishe kwani
unanipa
raha ambazo siwezi kuzipata
popote. . .
Naomba raha hizi usimpe
mwingine. . .
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
kila ninapoona macho yako
nafurahia uwepo
wako,nikiona tabasamu
lako,nasikia homa ya
moyo,nikiona chozi lako la furaha
,moyo wangu unakuwa
huru kwako,nakupenda sana
mpenzi
wangu na
wewe ndiye valentine wangu. . .
Pokea busu mwaaaah
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
pumzi yako kwangu ni burudani ya
ajabu,
nakupenda sana busu lako
maridhawa
shavuni mwangu.wewe ndiye
furaha
yangu

Happy easter

Friday 13 December 2013

Because

A man can be physically,
emotionally and verbally abusive or even
strong to shake a woman’s body but the
silence of a woman can shake his
consciousness to an extent you can never
imagine… BECAUSE.. No matter how physically
strong a man is…he can never match up to
the emotional strength of a woman

Tuesday 10 December 2013

Siri ya Mbunge kushinda uchaguzi ni ahadi
zake kutatua shida za Wananchi,na ili aweze
kushinda uchaguzi tena akigombea,ni lazima
awe karibu na wananchi ili kujua shida zao
na kuzitatua...
Siri ya Penzi bora ni wewe kuwa karibu na
Mpenzi wako maana huyo ndio jimbo lako la
Uchaguzi,Jua ana shida gani,ana yapi
yanamsibu,Hisiazake ziko sawa??Na kumpa
furaha....
Ukichaguliwa kuwa Mbunge halafu hujui
Jimboni kwako nini kinaendelea usitegemee
utashinda Uchaguzi Ujao,utakuta wananchi
wamekuchoka na wapinzani wako
watakuwawametumia udhaifu wako wa
kutojua jimbo lako linataka nini kupenyeza
sumu wapewe wao jimbo...
Ukijifanya Uko bize kwa mpenzi wako,oh
kazinyingi,mara ohh nna excel sheet
zinanisumbua mara vile,utachokwa,na
ukichokwa watu wanampa Kura mtu
mwingine
Mheshimu Mpenzi wako kama Mbunge
Mjanjaanavyoheshimu Jimbo lake la
uchaguzi,ukijifanya Bize usishangae kukuta
Jimbo limechukuliwa wewe huna habari...
Kama uko Bize, Dont Fall in Love,Penzi ni Ajira
kama ajira zingine na linahitaji Muda na
Concentration,usilichukulie Poa maana na
lenyewe litakuchukulia Poa.
je,Unajua kinachojiri Jimboni kwako sasa
hivi??Au una-assume jimbo liko salama
wakati viwavi-jeshi na tunutu wameshacover
nafasi??WATCH OUT...JALI JIMBO LAKO

Friday 29 November 2013

Habari

Njia mpya ya Reli Afrika Mashariki
28 Novemba 2013 16:32
Kenya imezindua rasmi ujenzi wa njia ya Reli
itakayounganisha kanda ya Afrika Mashariki
na eneo la maziwa makuu ujenzi
utakaofadhiliwa na serikali ya China.
Reli hiyo itaunganisha Kenya na Sudan
Kusini, DR Congo na Burundi.
Sehemu ya kwanza ya njia hiyo ya reli ,
itaunganisha bandari ya Mombasa na Mji
mkuu Nairobi na kupunguza muda wa
safari kati ya miji hiyo kutoka masaa 15 hadi
masaa manne tu.
Huu bila shaka ndio utakuwa mradi
mkubwa Zaidi kuwahi kujengwa tangu nchi
hiyo kujipatia uhuru miaka 50 iliyopita.
Mradi huo utagharimu dola bilioni 5.2 kiasi
kikubwa cha pesa hizo kikitolewa na
Uchina.
Baadhi ya wakenya wanalalamika kuwa
tenda hiyo imetolewa kwa kampuni ya
kichina kwa njia isiyofaa.
Rais Uhuru Kenyatta katika hafla ya uzinduzi
huo amesema kuwa mradi huu ndio
utakuwa kumbukumbu kubwa ya utawala
wake Kenya.
Mkataba wa ujenzi wa njia hiyo ya reli,
ulifikiwa kati ya Rais Kenyatta na mwenzake
wa China Xi Jinping mnamo mwezi Agosti
mjini Beijing.
Pia kuna matumaini kuwa njia hiyo ya reli
itapunguza msongamano mjini Mombasa
moja ya bandari yenye shughuli chungu
nzima barani Afrika.
Njia ya reli iliyoko sasa, ni ile iliyojengwa
enzi za ukoloni.
Baada ya kukamilika kwa sehemu ya
kwanza ya reli hiyo mjini Nairobi, mwaka
2017, itaendelezwa hadi Magharibi mwa
DRC hususan mjini Kisangani, Rwanda,
Burundi na Sudan Kusini.
"Tunachokifanya hapa leo, kitaleta mageuzi
makubwa sio nchini Kenya tu bali katika
kanda nzima ya Afrika Mashariki,’’ alisema
Rais Kenyatta akitaja mradi huo kama jambo
la kihistoria.
Aliongeza kusema kuwa mradi huu ni moja
ya miradi mikubwa katika maono yake ya
maendeleo itimiapo mwaka 2030
kuboresha hali ya miundo msingi nchini
humo.

Thursday 28 November 2013

Misemo

MISEMO NA MAFUNZO YAKE!!!
1. Hata kama mtu ni mwerevu, huwezi kuwadanganya watu wote kwa muda mrefu. Siku moja utagunduliwa, kwa sababu "siku za mwizi ni arobaini" au "habari za uwongo zina ncha saba.
2. Ili binadamu aishi na kufaulu katika maisha yake, hana budi kujitolea na kupambana na hali yoyote katika mazingira.
3. Kuwa na tamaa inaweza kuua. Kama wahenga walivyosema:- Njia mbili zilimshinda Fisi.
4. Ujinga na woga husababisha taabu na hasara kubwa ulimwenguni
5. usimdharau adui ijapokuwa ni dhaifu. Ni kwamba akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki.
6. Mtu akifanya kazi kwa bidii hufanikiwa. Au maskini hachoki, akichoka keshapata.
7.Asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Hii ni kwamba hatuna budi kuwatii wazazi wetu tukitaka kuuelewa ulimwengu.
8. Si utu kwende kwa uliyempa zawadi na kumwambia akurudishi zawadi yako
9. wivu hangamiza familia nyingi ulimwenguli
Namba kumi naomba wewe uzaja. Ni kwamba kama nawe una msemo na basi karibu jumuika nami....

Sunday 24 November 2013

Habari-Michezo

Man City yaua Man U yabanwa
Timu ya Manchester City imeiadhibu Tottenham kwa jumla ya mabao 6 - 0 katika mechi ya kukata na shoka iliyochezwa siku ya jumapili.
Man City wakiwa nyumbani waliandika bao la kwanza katika sekunde ya 14 kwa goli safi lililotiwa wavuni na Jesus Navas.
Baada ya goli hilo Man City walicheza kwa kujiamini na kuifanya Tottenham wapoteane na ndipo katika dakika 34 Sandro wa Tottenham kutoka na makosa ya kipa wake Hugo Lloris kushindwa kuokoa shuti lililopigwa na Alvaro Negredo shuti hilo lilimgusa na kuingia wavuni.
Baadae Sergio Aguero kabla ya mapumziko akapachika bao la tatu hadi timu zinakwenda mapumziko Man City walikuwa mbele kwa magoli 3 - 0.
Kipindi cha pili timu zote ziliingia zikijaribu kujipanga lakini bado Man City walionekana kuutawala mpira na ndipo Sergio Aguero kwa mara nyingine akapachika goli akifuatiwa na Alvaro Negredo kabla ya Jesus Navas kukamilisha sherehe na kuizamisha Tottenham kwa jumla ya 6 - 0.
Kwa upande wao Manchester United wao walibanwa mbavu na Cardiff timu iliyoingia msimu huu kwenye ligi ya kuu ya England mechi iliyopigwa siku ya Jumapili baada ya kutoka sare ya magoli 2 - 2.