Saturday 26 October 2013

Mahusiano

Mke mwema...
Mwanamke, ili ndoa yako ilete mafanikio lazima utafute kwa bidii kuwa na sifa zifuatazo 1. Muombaji Simama kama mlinzi kwa ajili ya familia yako. Maombi yataisimamisha ndoa yako na kuwavusha katika vipindi vigumu. 2. Mtii Hii haina upinzani, biblia imemwagiza mwanamke kuwa mtii kwa mume wake katika Bwana. Usishindane na mume wako, mtii na pale anapokuwa mgumu kumtii maombi ndiyo silaha yako. 3. Mshauri Wewe ni mshauri namba moja kwa mume wako hivyo tumia nafasi hiyo vizuri umshauri kwa busara na hekima na sio kwa kusukumwa na hasira,...

No comments:

Post a Comment