Friday 15 November 2013

Mahusiano

Watu wengi huwa wanauliza..inakuwaje mtu anaomba kubreak-Up na wewe na ukimuuliza sababu anakwambia HANA…Unamforce weeee,niambie baby,,,sema anything I will do jamaniii,don’t leave me..anakusisitizia HANA SABABU ila anataka muachane…Inatokea..Sio kila Uhusiano huwa umejengwa kwenye mawe…Mahusiano mengine yamejengwa kwenye uji wa ulezi,mkitembeakidogo tu mnagundua njia nzima ina utelezi hamtafika..KunaCRUSH..mtu mnakutana mnazimikiana,mnaenda kidogo tu miezi mi3 zile Spark za Mahaba zimeisha na wala haupretend ndo imetokea,CRUSH IMEKUFA…Usiforce moto wa mshumaa uivishe sufuria la makande…Mwambietu,mwanangu ule mzuka umekata! Huwa hawaelewagi,especially wanawake,yaani atakuforce umwambie amekosea wapi…au babe niache kuvaa magauni marefu,eti babe au ninyoe nywele…wala hizo sio sababu…ZUKA LIMEKATA
Sasa wale Asha Ngedere utawapenda..Wanaambiwa Its over hawaelewi somo,utawasikiaHAACHWI MTU HAPA,NTAPIGANIANAFASI YANGU...Upiganekwani Mapenzi yana Vita vya Majimaji kujifanya Kinjekitile Ngwale….Hisia zinakufa kwa Wanandoa sembuse wewe Girlfriend??Waulize waliooana kama Betri huwa haziishi maji wanaishi kwa Kuboost…Waulizewakwambie. Usimlazimishe mgonjwa wa Kisukari kunywa Fanta Orange,UTAMUUA! By Seth De Jesus Giovani

No comments:

Post a Comment