Saturday 16 November 2013

mapenzi

Inasikitisha na kuboa sana pale mtu unayempenda anapojifanya too busy na hajali,anaweza hata kukaa siku nzima hajakutafuta,eti yuko busy na kazi,mara bize na test na assignments..Cha ajabu wakati hicho kijitu chako kiko bize kuna watu ambao hata hutaki kuona Call zao wala Message zao wanajali ile mbayaaa,wanakukumbusha hadi ule chakula,kujua hali yako kuliko mwenye nyumba madai yuko bize.Utashangaawakoloni wanarudi kutawala.Kataa kubali,Communication ni sumu pekee ya kuua relation, na ni Bullet yenye shabaha sana kujenga a lovely relation.we toa macho utapigwa bao dakika ya 90. By Seth De Jesus Giovani

No comments:

Post a Comment