Saturday 16 November 2013

Mahusiano

Kama kweli anakupenda hamna kitu kitakachomfanyaasiwe na muda wa kukutafuta,kujibu msg zako au kukupigia,si kazi,si shule,si biashara kwa kisingizio cha ubize.Ukiona una mpz anajifanya yuko bize kama Bajaj za Sinza ujue kuna shida mahali.First priority ya kila aliye inlove ni uhusiano wake kuwa imara coz ukiwa legelege hata shule yake,kazi,au bness inakuwa na mawazo.Check ur relationship, kama inaumwa Ubize uitibu haraka kwa mitishamba. By Seth De Jesus Giovanni

No comments:

Post a Comment