Saturday 16 November 2013

Maisha

Kama una mpango wa kutoa mimba kesho tafadhali usifanye Mapenzi leo...Haina excuse...Kama unaogopa wazazi wako ungewakumbuka kabla hujafanya,kama unajua ni mwanafunzi badala ya kufanya ungekuwa Library unasoma...everyDebit entry must have a corresponding Credit transaction,haina shortcut.....Amproud to all Women who know how to do it and keep it,kiumbe unayemuua hana makosa,makosa ni wewe kufanya upumbavu huku huna ujasiri wa kutetea upumbavu wako..

No comments:

Post a Comment