Saturday 16 November 2013

Mahusiano

JAmani eeh,tujifunze sheria mpya,Ex wako hatakiwi kuwa adui,nimeshuhudia Ma-ex wengi tu wakiachana na kurudiana baadae, au Ex kukuhelp kwenye ishu muhimu bila wewe kutegemea.Duniaduara,tabia za kuachana na mtu halafu unajifanya we kibaka mzoefu unaanza kumtukana ooh sijui nilikutoa wapi najuta kudate na wewe una sura kama kitunguu utakuja juta.Siku mnarudiana sura itakushuka kama chapati maji maana Kitunguu ndo kimekuwa mmeo tuone kama utamtumia kuungia mboga.Muwe wastaarabu
by Seth De Jesus Giovanni

No comments:

Post a Comment