Saturday 26 October 2013

Mahusiano

MMhhhhh...Hatareee
Ladies... Usiruhusu mtu kumsema na kumchambua mke wake vibaya mbele zako. Haifai kabisa kumsikiliza mtu akimsema vibaya mke wake tena mkiwa wawili tu naye hayupo kujitetea. Mara nyingi wanaume wa aina hii huwasema wake zao vibaya mbele ya wasichana wasioolewa wakijidai wanawafundisha wasiwe kama wake zao wakati ukweli ni kwamba wanawataka. Anatafuta kuonekana victim kwa mkewe ili apate sympathy kwa binti huyo na hatimaye amkubali.Jiweke kwenye nafasi ya huyo mke, kwanini unakubali kusikiliza mazungumzo kama hayo? Mtu wa aina hiyo mkemee na usijenge chuki..

No comments:

Post a Comment