Saturday 26 October 2013

Mahusiano

ikiwa mpenzi wako hajakulia katika mazingira mazuri ya kiimani kulingana na taratibu za dini anayoiamini ni vigumusanakuwa mwamnifu au kukuamini! Hii ina maana kwamba wakati unachagua mchumba ni vizuri kuangalia pia suala la imani ya dini yake. Je, ni muumini kikamilifu katika imani yake? Maana katika imani za dini, kitu cha kwanza kabisa kufundishwa na kutiliwa mkazo ni uaminifu! katika uaminifu huwezi kukuta uongo, usaliti, masengenyo na mengine mengi ambayo siyo mema. ...JIWEKEE UAMINIFU

No comments:

Post a Comment